Zootopia
filamu ya 2016 ya Byron Howard & Rich Moore
Zootopia ni filamu ya kompyuta ya vichekesho ya mwaka 2016 iliyozalishwa na Walt Disney Animation Studios.
Wkamahiriki wa sauti
hariri- Ginnifer Goodwin kama Judy Hopps[1]
- Jason Bateman kama Nick Wilde[1][2]
- Idris Elba kama Chief Bogo
- Jenny Slate kama Dawn Bellwether
- Nate Torrence kama Benjamin Clawhauser
- Bonnie Hunt kama Bonnie Hopps
- Don Lake kama Stu Hopps
- Tommy Chong kama Yax
- J. K. Simmons kama Mayor Lionheart
- Octavia Spencer kama Mrs. Otterton
- Alan Tudyk kama Duke Weaselton
- Shakira kama Gazelle
- Raymond S. Persi kama Flash
- Maurice LaMarche kama Mr. Big
- Phil Johnston kama Gideon Grey
- John DiMaggio kama Jerry Jumbeaux Jr.
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Borys Kit, Borys Kit (2015-05-06). "Ginnifer Goodwin Joins Jason Bateman in Disney Animation's 'Zootopia' (Exclusive)". The Hollywood Reporter (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-21.
- ↑ Borys Kit, Borys Kit (2013-05-03). "Disney, 'Tangled' Director Plot New Animated Feature With Jason Bateman (Exclusive)". The Hollywood Reporter (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-21.
Viungo vya Nje
hariri- Zootopia at the Internet Movie Database
- Zootopia at the TCM Movie Database
- Zootopia at the Big Cartoon DataBase
- Zootopia at AllRovi
- Zootopia katika Metacritic
- Zootopia at Rotten Tomatoes
- Zootopia katika Sanduku la Ofisi la Mojo
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zootopia kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |