Another Part of Me
"Another Part of Me" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Kiasili wimbo ulikuwepo kwenye filamu ya Jackson ya 1986 Captain EO. Baadaye ikaja kuonekana tena katika albamu yake ya mwaka wa 1987, Bad, na ikaja kutolewa ikiwa kama single ya sita kutoka mnamo mwaka wa 1988.
“Another Part of Me” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Bad | |||||
Imetolewa | 11 Julai 1988 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1986 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 3:53 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Mafanikio yake Chatini hariri
"Another Part of Me" imeshika nafasi zifuatazo:
- #1 kwenye chati za Billboard R&B Singles chart.[1]
- #11 kwenye chati za Billboard Hot 100.[2]
- #15 kwenye chati za UK Singles Chart.
Muziki wa video hariri
Muziki wa video rasmi ulitolewa mnamo 1988, na uliongozwa na Patrick Kelly, unamwonyesha Jackson akiimba moja kwa moja wakati wa ziara yake ya Bad World Tour kwenye uwanja wa michezo wa Wembley Arena.
Mixi zake hariri
- Toleo la albamu - 3:53
- Uharirio wa Redio - 4:25
- 7" Version - 3:46
- Biti tupul - 3:46
- Dansi Iliongezwa Urefu na Kumixiwa - 6:18
- Dub version - 3:51
- Maneno Matupu bil Biti - 4:00
Marejeo hariri
- ↑ Cadman, Chris (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6.
- ↑ Cadman, Chris (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Another Part of Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |