Augustine Kabaso Mulenga, (alizaliwa 17 Januari, 1990) ni mchezaji wa soka waZambia ambaye anacheza katika klabu iliyopo nchini Afrika Kusini iitwayo Orlando Pirates na timu ya taifa ya Zambia.

Augustine Mulenga
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaZambia Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa7 Januari 1990, 17 Januari 1990 Hariri
Mahali alipozaliwaLusaka Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoNkana F.C. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Kazi ya kilabu hariri

Mnamo Januari 2018, Mulenga alijiunga na Klabu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini Orlando Pirates.Alicheza timu hiyo kwa mara ya kwanza 3 Machi 2018, akiingia kama mbadala wa Justin Shonga dakika ya 84 katika ushindi wa 3-1 nyumbani dhidi ya Kaizer Chiefs.

Mulenga alifunga goli lake la kwanza katika klabu hiyo 4 Aprili 2018 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bloemfontein Celtic.

Kazi ya Kimataifa hariri

Alicheza katika kikosi cha timu ya taifa ya Zambia kwa mara ya kwanza mnamo 26 Machi 2017 katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Augustine Mulenga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.