Cormac McCarthy (amezaliwa 20 Julai 1933) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2007, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Road.

McCarthy (1968)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cormac McCarthy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.