Djamel Amani (alizaliwa Larbaâ, Blida, Algeria, 17 Juni 1962) ni mchezaji wa soka wa Algeria aliyestaafu.

Kazi hariri

'Djamel Amani alicheza katika klabu ya USM Alger huko Algeria, Royal Antwerp FC huko Ubelgiji[1] na Aydınspor huko Uturuki.

Kimataifa hariri

Amani pia alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya soka ya Algeria, akifunga mabao 5 katika mechi za kimataifa.

Marejeo hariri

  1. Takwimu - FC Antwerp
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Djamel Amani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.