Domagoj Vida (alizaliwa 29 Aprili 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kroatia ambaye anacheza kama mlinzi wa klabu ya Uturuki ya Beşiktaş na timu ya taifa ya Kroatia. Ana uwezo wa kucheza katika nafasi yoyote ya nyuma au pembeni.

Domagoj Vida

Baba yake Rudika ni mchezaji wa soka wa zamani wa timu ya Kroatia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Domagoj Vida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.