Donald Gray

Mwigizaji wa Afrika Kusini(1914-1978)

Donald Gray (alizaliwa Eldred Owermann Tidbury),tarehe 3 Machi 1914 alikua muigizaji wa Afrika kusini,nyota maarufu huko British kwenye filamu ya muendelezo ya Mark Saber, kwa kuigiza sauti ya Colonel white,Captain Black na Mysterons kwenye tamthilia ya Captain Scarlet na Mysterons. Na kwasabau hiyo Donald Marshall Gray alipo kua muigizaji alibadili jina lake kuwa Charles Gray.Japo sio kwa bahati mbaya , katika baadhi ya vyombo vya habari jina halisi la Colonel White linasemekana kuwa ni Charles Grey.

Donald Gray
Amezaliwa 3 Machi 1914
Eldred Owermann Tidbury
Amekufa 7 Aprili 1978 (Miaka 64)
Jina lingine Don Tidbury
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1933–1975
Watoto 2

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald Gray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.