Ebrolfi (Bayeux, 517 - Exmes, 29 Desemba 596) alikuwa abati wa monasteri ya Ouche, kaskazini mwa Ufaransa.

Kabla yake alikuwa afisa na mtu wa ndoa, lakini baadaye alikubaliana na mke wake aende kuishi msituni kati ya wanyama wakali na majambazi[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.