Faili:Michael na Mwinyi.jpg
Michael_na_Mwinyi.jpg (piseli 395 × 287, saizi ya faili: 28 KB, aina ya MIME: image/jpeg)
Muhtasari hariri
Kwa Tanzania, picha hii imechukuliwa na wanablogu wengi sana - kiasi kwamba hata haijulikani nani mmiliki kamili wa picha hii. Kiukweli, picha ilipigwa toka mwaka 1992 hadi leo. Kiasi hata isijulikane nani mmiliki halisi wa picha hii. Wengi wanaamini ilitoka maktaba kwa ajili ya kumwelezea Rais Mstaafu wa Tanzania Nd. Ali Hassan Mwinyi jinsi alivyozungumza na Michael Jackson wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo cha watoto yatima cha Sinza. Zifuatazo ni orodha ya blogu zilizowahi kutumia picha hizi:
- http://zanzibary.files.wordpress.com/2009/06/mj1.jpg
- http://issamichuzi.blogspot.com/2009/06/former-tanzania-president-mourns.html
- http://karibunyumbani.blogspot.com/2009/06/michael-jackson-afariki-dunia.html
Kwa mantiki hii, kila mtu ana haki ya kutumia picha hii.
Hatimiliki: hariri
Kazi hii imetolewa chini ya tovuti ya umma na anayeshikiria hatimiliki. Hii inakubalika dunia nzima. Kwa sababu za kisheria: |
Historia ya faili
Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.
Tarehe/Saa | Picha ndogo | Vipimo | Mtumiaji | Maelezo | |
---|---|---|---|---|---|
sasa hivi | 11:20, 21 Julai 2009 | 395 × 287 (28 KB) | Muddyb (majadiliano | michango) | Kwa Tanzania, picha hii imechukuliwa na wanablogu wengi sana - kiasi kwamba hata haijulikani nani mmiliki kamili wa picha hii. Kiukweli, picha ilipigwa toka mwaka 1992 hadi leo. Kiasi hata isijulikane nani mmiliki halisi wa picha hii. Wengi wanaamini ilit |
Unaweza kuandika juu ya faili hii.
Matumizi ya faili
Hakuna kurasa zozote zinazotumia faili hii.