Ninaitwa Mohammed. Humu hujiita "Muddyb". Ninaishi Dar es Salaam, Tanzania. Hapa ninasimama kama mkabidhi na mrasimu wa kamusi elezo hii ya Kiswahili. Ukiwa una uswali lolote, basi uliza nami nitakujibu! Mimi ni mpenzi sana wa muziki na filamu. Hivyo basi, makala nyingi ninazoandika zinahusu masuala ya muziki na filamu!
Nukuu kali kutoka katika wimbo:
Been spending most their lives, living in the gangsta's paradise
Been spending most their lives, living in the gangsta's paradise
Keep spending most our lives, living in the gangsta's paradise
Keep spending most our lives, living in the gangsta's paradise!
In my case it was a fear and - just because I suppose I have something in my body and nobody else has it or very few people who had it. And I think it's because you're a different, I mean and, I mean I'm surprise we really have dogs nowadays because they are different? It's amazing how you can accept the dogs in your house, but you cannot accept someone because of their race. You know their color or their religion or what they have in them.