Foday Musa Suso (alizaliwa 9 Desemba, 1953, [1]) ni mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo wa nchini Gambia. Kabila lake ni Mandinka. [1]

Foday Musa Suso ndani ya 2017
Foday Musa Suso ndani ya 2017

Orodha ya kazi za muziki hariri

  • 1970 - Kora Music from Gambia (Folkways)
  • 1979 - Mandingo Griot Society: Mandingo Griot Society ( Flying Fish ) [2]
  • 1982 - Mandingo Griot Society: Mighty Rhythm (Flying Fish [2]
  • 1984 - Hand Power (Flying Fish
  • 1984 - Mandingo Featuring Foday Musa Suso: Watto Sitta (Celluloid), produced by Bill Laswell [2]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 Colin Larkin, mhariri (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (toleo la First). Guinness Publishing. uk. 2424. ISBN 0-85112-939-0. 
  2. 2.0 2.1 2.2 Guthartz, Jason (July 7, 2013). "Hamid Drake Discography". Restructures.net. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-03. Iliwekwa mnamo September 25, 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Foday Musa Suso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.