Richard Samet "Kinky" Friedman (alizaliwa Chicago, Novemba 1, 1944)[1] ni mwanamuziki, mwandishi wa nyimbo na riwaya, mchekeshaji, mwanasiasa na pia ni mwandishi wa zamani wa gazeti la Texas Monthly nchini Marekani.

Friedman alikuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya ugavana katika jimbo la Texas na kupata asilimia 12.6 ya kura zote, na kujiweka katika nafasi ya nne kati ya wagombea sita walioshiriki uchaguzi huo.

Wasifu hariri

Alizaliwa kama Richard Samet Friedman na wazazi wa Uyahudi Dr. S. Thomas Friedman na mkewe Minnie (Samet) Friedman.[2][3][4] Wazazi wake wote walikuwa ni watoto wa wayahudi wa kirusi waliokuwa wakimbizi. Wakati Friedman alivyokuwa mdogo familia yake ilihamia kwenye ranchi huko Kerrville, Texas.

Marejeo hariri

  1. Sullivan, Mary Lou (2017-10-01). Everything's Bigger in Texas: The Life and Times of Kinky Friedman (kwa Kiingereza). Hal Leonard Corporation. ISBN 978-1-5400-0499-4. 
  2. Jonathan Bernstein, Jonathan Bernstein (2018-11-03). "Kinky Friedman Comes Home". Rolling Stone (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  3. "Kinky Friedman on how Willie Nelson, misery shaped his new music". Santa Rosa Press Democrat (kwa en-US). 2018-04-19. Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  4. "Kinky Friedman, Whose Life Reads Like a Book With a Most Unlikely Plot, Is Born", Haaretz (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-08-07 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinky Friedman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.