Bariki Shao
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Kuhusu Wikipedia hariri
Karibu sana katika Wikipedia ya Kiswahili, tunafurahi kwa kujiunga nasi, napenda kukukumbusha kwamba Wikipedia siyo sehemu ya kuandika makala zako binafsi, ni sehemu kwa ajili ya kuweka maarifa kwa ajili ya watu wengine,kuendelea kuandika makala za kujitangaza kunaweza kupelekea account yako ikafungwa, unaweza kusoma na kujifunza zaidi kuhusu namna ya kutumia Wikipedia katika ukurasa wa Ukaribisho,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 20:20, 18 Februari 2023 (UTC)
- Umeajiriwa nao Bariki Shao (majadiliano) 20:25, 18 Februari 2023 (UTC)
- alafu mbona wasanii wengine wameweka Bariki Shao (majadiliano) 20:26, 18 Februari 2023 (UTC)
- Unaweza kufungua hapa katika Wikipedia:Mwongozo kwa ajili ya muongozo zaidi na utaona namna ya kuanzisha na kuhariri makala ,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 20:30, 18 Februari 2023 (UTC)
- Inategemea, kabla ya kuandika makala ni lazima kutazama kama makala hiyo inafaa kuandikwa, je labda ipo katika Wikipedia ya Kiingereza, pia unaweza kuangalia vyanzo (Reference) za makala unazotaka kuanzisha kama makala itakuwa haina vyanzo, basi haitofaa kuchapishwa,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 20:32, 18 Februari 2023 (UTC)
- alafu mbona wasanii wengine wameweka Bariki Shao (majadiliano) 20:26, 18 Februari 2023 (UTC)
- Ndugu Bariki, naona ni Mkristo lakini una majivuno ya kutisha. Jishushe kidogo kwa mfano wa Yesu! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:54, 19 Februari 2023 (UTC)
- hapana rafiki kile unacho kiri siku zote ndicho unachopokea 197.250.61.15 07:43, 19 Februari 2023 (UTC)
- Ndugu Bariki, naona ni Mkristo lakini una majivuno ya kutisha. Jishushe kidogo kwa mfano wa Yesu! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:54, 19 Februari 2023 (UTC)