Marcy Bloom

Mwanaharakati wa haki za utoaji mimba wa Marekani

Marcy Bloom (alizaliwa 1954) ni mwanaharakati wa nchini Marekani anayejulikana kwa kufanya kazi kwa miaka kumi na minane kama mkurugenzi mtendaji wa kituo cha afya ya wanawake huko Seattle.[1]

Bloom alikuwa mpokeaji wa tuzo ya juu zaidi ya ACLU mwaka 2006.

Marejeo hariri

  1. Susan Paynter. Pioneering clinic celebrates 30 years of changing the world for women, Seattle Post-Intelligencer Oct 30,2002.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcy Bloom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.