Marta Galimany (alizaliwa 5 Oktoba 1985) ni mwanariadha wa nchini Hispania wa mbio ndefu ambaye ni mtaalamu wa mbio za marathoni.[1]

Marejeo hariri

  1. "Real Federación Española de Atletismo". www.rfea.es. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-27. Iliwekwa mnamo 2021-10-27.