Matthijs Büchli (alizaliwa tarehe 13 Desemba 1992) ni mholanzi mwendeshaji wa baiskeli[1],kwa sasa anaendeshea timu ya BEAT cycling[2].

Mwendeshaji baiskeli Matthijs Büchli
Mwendeshaji baiskeli Matthijs Büchli

Alitwaa ubingwa wa dunia katika mashindano ya baiskeli mwaka 2018 katika mashindano ya mabingwa wa Dunia.Mwaka 2016,Buchli alitunukiwa medali ya fedha katika mashindano ya baiskeli ya olimpiki ya wanaume huko Rio De Janeiro[3],ukiachilia mbali majeraha ya mguu yaliyompata miezi mitano kabla ya michezo hiyo ya olimpiki[4].Büchli alikuwa ni sehemu ya timu aliyoshinda medali ya dhahabu katika michezo ya olimpiki mwaka 2020 majira ya joto kwenye mbio hizo za timu.

Büchli alikuwa ni mwanachama wa kibiashara katika timu ya BEAT cycling pamoja na Theo Boss tangu mwaka 2017.

Marejeo hariri

  1. "Matthijs Büchli", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-10-09, iliwekwa mnamo 2021-12-03
  2. "Matthijs Büchli", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-10-09, iliwekwa mnamo 2021-12-03
  3. "Matthijs Büchli", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-10-09, iliwekwa mnamo 2021-12-03
  4. "Matthijs Büchli", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-10-09, iliwekwa mnamo 2021-12-03