Miriam Tlali

Mwandishi wa riwaya wa Afrika Kusini

Miriam Tlali (amezaliwa 1933 mjini Johannesburg) ni mwandishi wa riwaya kutoka Afrika Kusini. Riwaya na hadithi zake mara nyingi zahusu maisha yake Tlali katika kitongoji cha Soweto.

Miriam Tlali
Amezaliwa 1933
Johannesburg, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi

Vitabu vyake hariri

  • Muriel at Metropolitan (1975)
  • Amandla! (1981)
  • Mihloti (1984)
  • Footprints in the Quag (1989)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miriam Tlali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.