Mlima Tajumulco ni mlima wa volikano nchini Gwatemala; ndio mrefu zaidi kati ya milima ya Amerika ya Kati.

Mlima Tajumulco, upande wa Kusini

Una kimo cha mita 4,211 juu ya UB.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Tajumulco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.