Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-2 This user is able to contribute with an intermediate level of English.
Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu Anaishi Dar es Salaam.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Leo ni tarehe 2 Mei 2024.
Mbarak.

Ninaitwa Mbarak Omar Bakhatir. Ninatokea Dar es Salaam, Tanzania. Mimi ni mchangiaji wa kawaida katika Wikipedia hii ya Kiswahili. Lakini kwa sasa bado ningali mgeni! Natumai nitakuwepo.