Papa Gregori VI (alifariki 1048) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Mei 1045 hadi 20 Desemba 1046[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Gregori VI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Johannes Gratianus.

Alipata upapa kutoka kwa Papa Benedikto IX.

Baadaye alilazimishwa kujiuzulu, akafuatwa na Papa Klementi II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.