Papa Leo VI alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 928 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 928 au Januari 929[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Leo VI.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo.

Alimfuata Papa Yohane X akafuatwa na Papa Stefano VII.

Leo VI alikuwa Papa huku Yohane X akiwa bado hai kifungoni.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.