Pepe (alizaliwa 26 Februari 1983) ni jina la utani la mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Beşiktaş ya nchini Uturuki mwenye asili ya Brazili anayecheza katika nafasi ya beki wa kati.

Pepe anajiunga na Ureno kwenye Kombe la Dunia la FIFA la 2018

Pepe alianza kujulikana alipokuwa anachezea klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania na kufanikiwa kubeba mataji mengi ikiwemo taji la ligi kuu la Hispania na Mataji matatu ya UEFA.

Mwaka 2017 alihamia klabu ya Beşiktaş ya nchini Uturuki.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pepe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.