Robert Katende

Mkufunzi wa chess

Robert Katende, ni kocha wa chess wa nchini Uganda, mwanasoka, mhamasishaji wa jamii, na mhandisi, pia ni mkurugenzi mtendaji wa Sports Outreach.

Alikuza mchezo wa chess katika vitongoji duni na watoto wa mitaani wa Kampala . [1] [2] [3] Anajulikana pia kwa kumshauri Phiona Mutesi mwanamke wa kwanza wa Uganda kuwa mchezaji bora wa chess.

Marejeo hariri

  1. Robert Katende Emphasizes Doing Good For Others - Straight Talk Africa (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-03-01 
  2. independent, The (2019-04-12). "Robert Katende on changing lives through chess". The Independent Uganda (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-03-01. 
  3. "BBC World Service - Outlook, I Introduced Chess to Kampala's Slums". BBC (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-03-01. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Katende kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.