Tuzo ya Pulitzer ya Historia

Tuzo ya Pulitzer ya Historia ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na imetolewa kumheshimu mwandishi au mwanahistoria Mwarekani aliyeandika kitabu kuhusu historia ya Merkani katika mwaka uliopita.

Kuanzia 1980, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu.

Washindi hariri

Katika miaka 97 hadi 2013, Tuzo ya Historia ilitolewa mara 95; kulikuwa na washindi wawili mwaka wa 1989, na hakuwa na tuzo 1919, 1984 na 1994. Waandishi wanne wametuzwa Tuzo hiyo mara mbili:

Miaka ya 1910 hariri

Miaka ya 1920 hariri

Miaka ya 1930 hariri

Miaka ya 1940 hariri

Miaka ya 1950 hariri

Miaka ya 1960 hariri

Miaka ya 1970 hariri

Miaka ya 1980 hariri

Miaka ya 1990 hariri

Miaka ya 2000 hariri

Miaka ya 2010 hariri