Uislamu nchini Somalia

Uislamu kwa nchi

Karibia watu wote wa Somalia ni Waislamu wanaofuata dhehebu la Sunni. Kwa zaidi ya miaka 1400, Uislamu umechukua nafasi kubwa katika utamaduni na jamii nzima ya Kisomali.[1]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

Kigezo:Somalia