Uislamu nchini Togo

Uislamu kwa nchi

Waislamu nchini Togo wanawakilisha kati ya asimilia 12 na 20 ya idadi yote ya wakazi wa taifa hilo. Uislamu umekuja nchini Togo sawa jinsi ulivyokuja zaidi huko Afrika Magharibi. Sehemu ya Waislamu wa Togo ni wafuasi wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki.[1]

Msikiti mjini kaskazini mwa Togo

Tanbihi hariri

  1. CIA=Togo

Kigezo:Togo-stub