William Dixon Colley

William Dixon Colley (zaidi anajulikana kama Dixon Colley, pia: William Ojo Dixon Colley au William Charles Dixon Colley; Bathurst, leo Banjul, mji mkuu wa Gambia, 14 Novemba 1913 - Sukuta, Gambia, 17 Januari 2001) alikuwa raia wa Gambia, mwandishi wa habari na magazeti, mkurugenzi msaidizi na mwenyekiti wa Gambia Press Union (GPU).[1][2][3][4][5][6][7]

William Dixon Colley
Amezaliwa William Dixon Colley
14 Novemba 1931
Banjul Gambia
Nchi Gambia
Majina mengine William Ojo Dixon Colley
Kazi yake mwandishi wa habari na magazeti, mkurugenzi msaidizi na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Gambia
Cheo Mkurugenzi msaidizi na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Gambia

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Dixon Colley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.