Yoana Fransiska wa Chantal

Yoana Fransiska wa Chantal, kwa Kifaransa Jeanne-Françoise Frémiot, Baronne de Chantal, (Dijon, Burgundy, Ufaransa, 28 Januari 1572Moulins, 13 Desemba 1641) ni maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la wanawake baada ya kufiwa mumewe.

Yoana Fransiska katika mavazi yake ya kitawa.
Mtakatifu Fransisko wa Sales, kiongozi wa kiroho wa Yoana Fransiska.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Benedikto XIV alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Novemba 1751, halafu Papa Klement XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Julai 1767.

Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 12 Agosti[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.