Álava
Álava au (Kieuskera) Araba au Álava-Araba ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.
Mkoa wa Álava | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Nchi ya Kieuskara | ||
Mji mkuu | Vitoria | ||
Eneo | |||
- Jumla | 2,963 km² | ||
Tovuti: http://www.alava.net/ |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 313,819.
Mji wake mkuu ni Vitoria.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Álava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |