Österåker ni manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 37,879 (mwaka 2005).

Mfereji wa Åker katika Österåker

Jiografia hariri

Eneo lake ni 322.25 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki. Umbali na Jiji la Stockholm ni 50 km.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Österåker kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.