Östersund
Östersund ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 43,796 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa Karne ya 18. Ni mji mkuu wa jimbo la Jämtland.
Utamaduni na burudaniEdit
Östersund ina cafes na migahawa kadhaa.
JiografiaEdit
Eneo lake ni 26.84 km². Iko kando ya Ziwa Frösön.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Östersund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |