Ōita, Ōita
Jiji la Japani, mji mkuu wa Mkoa wa Oita
Ōita (大分市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Ōita. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 470 000 wanaoishi katika mji huu.
Ōita | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kyushu | ||
Mkoa | Ōita | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 469,997 | ||
Tovuti: www.city.oita.oita.jp |
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ōita, Ōita kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |