Wikimedia Commons (pia huitwa "Wikicommons") ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha, za sauti na nyinginezo.

Wikimedia Commons
Wikimedia Commons

Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote; tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote.

Wikimedia Commons ni mradi wa Wikimedia Foundation.

Picha Bora Katika Mradi Wa Wikimedia Commons hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: