10 Billion: What's on Your Plate?

10 Billion: What's on Your Plate? (kwa Kijerumani: 10 Milliarden – Wie werden wir alle satt?) ni filamu iliyotolewa mwaka wa 2015 na Valentin Thurn kuhusu suluhu za kusambaza chakula kwa watu wa duniani hapo baadaye. Ilikuwa filamu iliyotazamwa zaidi mwaka 2015 katika sinema za Ujerumani.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 10 Billion: What's on Your Plate? kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.