33Miles
33Miles ni bendi ya nyimbo za kisasa za Kikristo ambao una mvuto kutoka nyimbo za nchi hasa kutoka sehemu za Franklin, Tennessee. Walianza kucheza muziki yao huko Nashville wakiwa na mkataba na INO Records,studio ambayo ilitoa albamu ya kwanza ya bendi hilo,33 miles,katika mwaka wa 2007. Albamu ilikuwa #8 katika chati ya Billboard Top Heatseekers na #16 katika chati ya Top Christian Albums. Katika wimbo wao wa 2007,There is a God walikuwa wakitaka kuwafahamisha wanasayansi waliokuwa wakisafiri kuenda katika utupu unaozunguka ulimwengu.Iliimbwa mnamo tarehe 3 Septemba 2009 wanasayansi wale walipokuwa wakitaka kupanda ndege yao.[1]
Bebo Norman | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Aina ya muziki | Nyimbo za kisasa za Kikristo |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Ala | Gitaa |
Miaka ya kazi | 2005 hadi sasa |
Studio | INO Records |
Tovuti | Tovuti Rasmi |
Wanachama
hariri- Jason Barton - mwimbaji kiongozi (alitoka True Vibe)
- Chris Lockwood - mchezaji gitaa
- Collin Stoddard - mchezaji piano
Diskografia
haririAlbamu
hariri- 33Miles (INO Records, 2007)
- One Life (INO Records, 2008) U.S. #161[1]
- Believe (Toleo la Krismasi, INO Records, 2009)
Nyimbo
haririMwaka | Wimbo | Albamu | Nambari kwenye chati ya Nyimbo bora za Kikristo |
---|---|---|---|
2007 | "What Could Be Better" | 33Miles | 11 |
"There Is a God" | 25 | ||
2008 | "Thank You" | 12 | |
"One Life to Love" | One Life | 10 | |
2009 | "Jesus Calling" | 26 | |
"Joy to the World" | Believe | 17 | |
"Finally Christmas" | 22 |
Tuzo
hariri- Kuchaguliwa kama Washindani katika Wasanii wapya bora katika tuzo za 2009 za Visionary [2]
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Archived 14 Machi 2010 at the Wayback Machine.
- 33Miles katika MySpace
- 33Miles Archived 22 Oktoba 2010 at the Wayback Machine.