Mabafu ya Aïn Doura

(Elekezwa kutoka Aïn Doura Baths)

Mabafu ya Aïn Doura ni magofu ya zama za Warumi yaliyopo Dougga, Tunisia. Eneo hili lina magofu ya mabafu ya kirumi yaliyokuwepo tangu Karne ya nne, na inatambulika kama sehemu muhimu ya urithi wa kiakiolojia na Taasisi ya Urithi wa Kitaifa ya Tunisia.[1]

Magofu ya Mabafu ya Aïn Doura

Marejeo hariri

  1. "Historical and archaeological monuments arranged and protected for the Tunisian country". web.archive.org. 2018-11-23. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-08. Iliwekwa mnamo 2020-07-10.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)