AGOA ni kifupisho cha Africa Growth and Opportunity Act yaani Sheria ya Ukuaji wa Biashara Afrika. Ilipitishwa na Marekani mwaka 2000.

Rais George W. Bush wa Marekani anasaini sheria ya African Growth and Opportunity Act (AGOA) Acceleration Act of 2004, tarehe 13 Julai 2004.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu "AGOA" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.