Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 13 Julai ni siku ya 194 ya mwaka (ya 195 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 171.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Henri II, Ezra, Sila, Serapioni wa Aleksandria, Mirope wa Kio, Aleksanda wa Filomelio na wenzake, Eugenius wa Karthago, Turiavo wa Dol, Emanueli Le Van Phung, Klelia Barbieri, Paulo Liu Jinde, Yosefu Wang Guiji n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 13 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.