Aaron Burr
Aaron Burr Jr. (6 Februari 1756 – 14 Septemba 1836) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Thomas Jefferson kuanzia mwaka wa 1801 hadi 1805.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aaron Burr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |