14 Septemba
tarehe
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Septemba ni siku ya 257 ya mwaka (ya 258 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 108.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1769 - Alexander von Humboldt, mpelelezi na mwanasayansi kutoka Ujerumani
- 1936 - Ferid Murad, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 1951 - Frederick Duncan Michael Haldane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2016
- 1955 - Geraldine Brooks, mwandishi kutoka nchi za Australia na Marekani
- 1957 - François Asselineau, mwanasiasa kutoka Ufaransa
- 1973 - Nasir Jones, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1978 - Silvia Navarro, mwigizaji wa filamu kutoka Mexiko
- 1980 - Ayo, mwimbaji kutoka Ujerumani
- 1981 - Patrick Garcia, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki
hariri- 407 - Mtakatifu Yohane Krisostomo, patriarki wa Konstantinopoli na mwalimu wa Kanisa kutoka Uturuki
- 891 - Papa Stefano V
- 1164 - Sutoku, mfalme mkuu wa Japani (1123-1142)
- 1321 - Dante Alighieri, mshairi nchini Italia
- 1523 - Papa Adrian VI
- 1836 - Aaron Burr, Kaimu Rais wa Marekani
- 1901 - William McKinley, Rais wa Marekani (1897-1901)
- 1905 - Pierre Brazza, mpelelezi Mfaransa mwenye asili ya Italia
- 1926 - Rudolf Christoph Eucken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1908
- 1929 - Jesse Lynch Williams, mwandishi kutoka Marekani
- 2009 - Patrick Swayze, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2012 - Louis Simpson, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Materno wa Koln, Petro wa Moutiers, Alberto wa Yerusalemu, Notburga, Gabrieli Taurin Dufresse n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |