Abdalla Haji Shaibu

Abdullah Haji Shaibu (alizaliwa 4 Oktoba 1998), ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania, pia anajulikana kwa jina la Abdullah Shaibu Ninja [1]. Anacheza nafasi ya beki wa kati,Pia anamudu nafasi ya kiungo mkabaji.

Anachezea klabu ya Yanga Sc nchini Tanzania.

Marejeo hariri

  1. "KIKOSI". Young Africans SC (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 17 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdalla Haji Shaibu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.