Mchezaji
Mchezaji ni mwanamume au mwanamke anayeshiriki katika mchezo fulani kwa maslahi yake maalumu.
Mfano:
- Mchezaji wa mpira wa miguu
- Mchezaji wa mpira wa mikono
- Mchezaji wa mpira wa kikapu
- Mchezaji wa mpira wa wavu
Picha
hariri-
Mchezaji wa mpira wa kikapu
-
Mchezaji wa mpira wa mikono
-
Mchezaji wa mpira wa miguu maarufu kwa jina la Lionel Messi
-
Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu, Cristiano Ronaldo
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mchezaji kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |