Abdallah Haji Ali
mjumbe wa bunge la Tanzania
Abdallah Haji Ali (amezaliwa 1 Januari 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF), pia ni mwalimu kitaaluma huko visiwani Zanzibar [1] Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kiwani kwa miaka 2015 – 2020. [2]
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |