Wabunge wa Tanzania 2015

Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais na Bunge lenyewe.

Vyama bungeni tangu 2015

hariri

Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2015:

Jina na rangi
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Alliance for Change and Transparency (ACT)
National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR–M)
Civic United Front (CUF)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni)
↓ 50%
188
1
1
32
34
Chama Cha Mapinduzi
A
N
CUF
CHADEMA

Wabunge wa Tanzania walioingia wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015

hariri


Jina la mbunge Jimbo Chama cha kisiasa
Hamida Mohamedi Abdallah Viti maalum vya wanawake CCM
Maida Hamad Abdallah Viti maalum vya wanawake CCM
Rashid Ali Abdallah Tumbe CUF
Bahati Ali Abeid Mahonda[1] CCM
Abdulaziz Mohamed Abood Morogoro Mjini CCM
Khadija Hassan Aboud Viti maalum vya wanawake CCM
Tulia Ackson Uteuzi wa rais CCM
Lameck Okambo Airo Rorya CCM
Ajali Rashid Akibar Newala Vijijini CCM
Stella Ikupa Alex Viti maalum vya wanawake CCM
Abdallah Haji Ali Kiwani CUF
Khamis Mtumwa Ali Kiwengwa[2] CCM
Jamal Kassim Ali Magomeni CCM
Khadija Nassir Ali Viti maalum vya wanawake CCM
Mbarouk Salim Ali Wete CUF
Hussein Nassor Amar Nyang'hwale CCM
Wanu Hafidh Ameir Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar CCM
Saul Henry Amon Rungwe CCM
Jumaa Hamidu Aweso Pangani CCM
Jaku Hashim Ayoub Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar CCM
Omary Ahmad Badwel Bahi CCM
Faida Mohammed Bakar Viti maalum vya wanawake CCM
Zainabu Mussa Bakar Viti maalum vya wanawake Chadema
Hussein Mohamed Bashe Nzega Mjini CCM
Innocent Lugha Bashungwa Karagwe CCM
Mbaraka Salim Bawazir Kilosa CCM
Kasuku Samson Bilago Buyungu Chadema
Innocent Sebba Bilakwate Kyerwa CCM
Doto Mashaka Biteko Bukombe CCM
Hamidu Hassan Bobali Mchinga CUF
Jeremia Maselle Bukwimba Busanda CCM
Ester Amos Bulaya Bunda Mjini Chadema
Abdallah Majurah Bulembo Uteuzi wa rais CCM
Halima Abdallah Bulembo Viti maalum vya wanawake CCM
Jasmine Tiisekwa Bunga Vyuo Vikuu CCM
Selemani Said Bungara Kilwa Kusini CUF
Felister Aloyce Bura Viti maalum vya wanawake CCM
Jerome Dismas Bwanausi Lulindi CCM
Marwa Ryoba Chacha Serengeti Chadema
Josephine Tabitha Chagulla Viti maalum vya wanawake CCM
Hawa Mchafu Chakoma Viti maalum vya wanawake CCM
Lathifah Hassan Chande Viti maalum vya wanawake Chadema
Mary Pius Chatanda Korogwe Mjini CCM
Raphael Masunga Chegeni Busega CCM
Andrew John Chenge Bariadi CCM
Sikudhani Yasini Chikambo Viti maalum vya wanawake CCM
Abdallah Dadi Chikota Nanyamba CCM
Rashid Mohamed Chuachua Masasi Mjini CCM
Cosato David Chumi Mafinga Mjini CCM
Mbaraka Kitwana Dau Mafia CCM
David Mathayo David Same Magharibi CCM
Kiswaga Boniventura Destery Magu CCM
Makame Mashaka Foum Kijini CCM
Leonidas Tutubert Gama Songea Mjini CCM
Alex Raphael Gashaza Ngara CCM
Pauline Philipo Gekul Babati Mjini Chadema
Josephine Johnson Genzabuke Viti maalum vya wanawake CCM
Boniphace Mwita Getere Bunda CCM
Hawa Abdulrahiman Ghasia Mtwara Vijijini CCM
Anna Joram Gidarya Viti maalum vya wanawake Chadema
Najma Murtaza Giga Viti maalum vya wanawake CCM
Khamis Said Gulamali Manonga CCM
Othman Omar Haji Gando CUF
Khatib Said Haji Konde CUF
Haji Ameir Haji Makunduchi CCM
Mwantum Dau Haji Viti maalum vya wanawake CCM
Azza Hilal Hamad Viti maalum vya wanawake CCM
Juma Kombo Hamad Wingwi CUF
Pascal Yohana Haonga Mbozi Chadema
Japhet Ngailonga Hasunga Vwawa CCM
Joseph Leonard Haule Mikumi Chadema
John Wegesa Heche Tarime Vijijini Chadema
Juma Othman Hija Tumbatu CCM
Aeshi Khalfan Hilaly Sumbawanga Mjini CCM
Mansoor Shanif Hirani Kwimba CCM
Augustine Vuma Holle Kasulu Vijijini CCM
Joram Ismael Hongoli Lupembe CCM
Yussuf Salim Hussein Chambani CUF
Hassanali Mohamedali Ibrahim Kiembesamaki CCM
Christine Gabriel Ishengoma Viti maalum vya wanawake CCM
Khalifa Mohammed Issa Mtambwe CUF
Selemani Said Jafo Kisarawe CCM
Raphael Michael Japhary Moshi Mjini Chadema
Asha Mshimba Jecha Viti maalum vya wanawake CCM
Emmanuel Papian John Kiteto CCM
Mwantakaje Haji Juma Bububu CCM
Juma Ali Juma Dimani CCM
Asha Abdullah Juma Viti maalum vya wanawake CCM
Hamoud Abuu Jumaa Kibaha Vijijini CCM
Jaffar Sanya Jussa Paje CCM
Ritta Enespher Kabati Viti maalum vya wanawake CCM
Risala Said Kabongo Viti maalum vya wanawake Chadema
Naghenjwa Livingstone Kaboyoka Same Mashariki Chadema
John Aidan Mwaluko Kabudi Uteuzi wa rais CCM
Mgeni Jadi Kadika Viti maalum vya wanawake CUF
John Peter Kadutu Ulyankulu CCM
Dalaly Peter Kafumu Igunga CCM
Haji Khatib Kai Micheweni CUF
Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki Viti maalum vya wanawake CCM
Selemani Moshi Kakoso Mpanda Vijijini CCM
Joseph George Kakunda Sikonge CCM
Medard Matogolo Kalemani Chato CCM
Bonnah Moses Kaluwa Segerea CCM
Diodorus Buberwa Kamala Nkenge CCM
Vicky Paschal Kamata Viti maalum vya wanawake CCM
Isack Aloyce Kamwelwe Katavi CCM
Josephat Sinkamba Kandege Kalambo CCM
Maria Ndilla Kangoye Viti maalum vya wanawake CCM
Constantine John Kanyasu Geita Mjini CCM
Sebastian Simon Kapufi Mpanda Mjini CCM
Katani Ahmadi Katani Tandahimba CUF
Zainab Athman Katimba Viti maalum vya wanawake CCM
Hassan Selemani Kaunje Lindi Mjini CCM
Shukuru Jumanne Kawambwa Bagamoyo CCM
Ally Mohamed Keissy Nkasi Kaskazini CCM
Sadifa Juma Khamis Donge[3] CCM
Ali Salim Khamis Mwanakwerekwe CUF
Yussuf Haji Khamis Nungwi CUF
Fakharia Shomar Khamis Viti maalum vya wanawake CCM
Mohamed Juma Khatib Chonga CUF
Munira Mustafa Khatib Viti maalum vya wanawake CCM
Aida Joseph Khenani Viti maalum vya wanawake Chadema
Omar Abdallah Kigoda Handeni Mjini CCM
Mendard Lutengano Kigola Mufindi Kusini CCM
Omari Mohamed Kigua Kilindi CCM
Hamisi Andrea Kigwangalla Nzega Vijijini CCM
Ashatu Kachwamba Kijaji Kondoa CCM
Pudenciana Wilfred Kikwembe Kavuu CCM
Ridhiwani Jakaya Kikwete Chalinze CCM
Elibariki Emmanuel Kingu Singida Magharibi CCM
Mariamu Nassoro Kisangi Viti maalum vya wanawake CCM
Jumanne Kibera Kishimba Kahama Mjini CCM
Jesca David Kishoa Viti maalum vya wanawake Chadema
Dunstan Luka Kitandula Mkinga CCM
Charles Muhangwa Kitwanga Misungwi CCM
Allan Joseph Kiula Iramba Mashariki CCM
Susan Limbweni Kiwanga Mlimba Chadema
Grace Sindato Kiwelu Viti maalum vya wanawake Chadema
Silvestry Fransis Koka Kibaha Mjini CCM
Susan Alphonce Kolimba Viti maalum vya wanawake CCM
Leah Jeremiah Komanya Viti maalum vya wanawake CCM
Yosepher Ferdinand Komba Viti maalum vya wanawake Chadema
Anthony Calist Komu Moshi Vijijini Chadema
Kiteto Zawadi Koshuma Viti maalum vya wanawake CCM
Saed Ahmed Kubenea Ubungo Chadema
Zuberi Mohamedi Kuchauka Liwale CUF
Rhoda Edward Kunchela Katavi Chadema
Elias John Kwandikwa Ushetu CCM
Julius Kalanga Laizer Monduli Chadema
Godbless Jonathan Lema Arusha Mjini Chadema
Peter Ambrose Lijualikali Kilombero Chadema
Tundu Antiphas Lissu Singida Mashariki Chadema
George Malima Lubeleje Mpwapwa CCM
Kangi Alphaxard Lugola Mwibara CCM
William Vangimembe Lukuvi Ismani CCM
Riziki Saidi Lulida Viti maalum vya wanawake CUF
Anna Richard Lupembe Viti maalum vya wanawake CCM
Livingstone Joseph Lusinde Mtera CCM
Wilfred Muganyizi Lwakatare Bukoba Mjini Chadema
Gerson Hosea Lwenge Wanging'ombe CCM
Kemirembe Rose Julius Lwota Viti maalum vya wanawake CCM
Susan Anselm Jerome Lyimo Viti maalum vya wanawake Chadema
Hamadi Salim Maalim Kojani CUF
Amina Iddi Mabrouk Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar CCM
Angeline Sylvester Lubala Mabula Ilemela CCM
Stanslaus Shingoma Mabula Nyamagana CCM
Elly Marko Macha Viti maalum vya wanawake Chadema
Khamis Yahya Machano Chaani CCM
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu Iramba Magharibi CCM
Lucy Simon Magereli Viti maalum vya wanawake Chadema
Jumanne Abdallah Maghembe Mwanga CCM
Catherine Valentine Magige Viti maalum vya wanawake CCM
Ester Alexander Mahawe Viti maalum vya wanawake CCM
Augustine Philip Mahiga Uteuzi wa rais CCM
Ezekiel Magolyo Maige Msalala CCM
Almas Athuman Maige Tabora Kaskazini CCM
Kunti Yusuph Majala Viti maalum vya wanawake Chadema
Kassim Majaliwa Majaliwa Ruangwa CCM
January Yusuf Makamba Bumbuli CCM
Salome Wycliffe Makamba Shinyanga Mjini Chadema
Yussuf Kaiza Makame Chake Chake CUF
Makame Kassim Makame Mwera CCM
Ramo Matala Makani Tunduru Kaskazini CCM
Amina Nassoro Makilagi Viti maalum vya wanawake CCM
Hussein Ibrahim Makungu Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar CCM
Tunza Issa Malapo Viti maalum vya wanawake Chadema
Anne Kilango Malecela Uteuzi wa rais CCM
Angelina Adam Malembeka Viti maalum vya wanawake CCM
Ignas Aloyce Malocha Kwela CCM
Issa Ali Abbas Mangungu Mbagala CCM
Stella Martin Manyanya Nyasa CCM
Vedastus Mathayo Manyinyi Musoma Mjini CCM
Sixtus Raphael Mapunda Mbinga Mjini CCM
Agnes Mathew Marwa Viti maalum vya wanawake CCM
Gimbi Dotto Masaba Viti maalum vya wanawake Chadema
George Mcheche Masaju Mwanasheria Mkuu (anaingia kikatiba kwa cheo chake)
Hassan Elias Masala Nachingwea CCM
Hamad Yussuf Masauni Kikwajuni CCM
Augustino Manyanda Masele Mbogwe CCM
Stephen Julius Masele Shinyanga Mjini CCM
Susanne Peter Maselle Viti maalum vya wanawake Chadema
Ali Khamis Masoud Mfenesini CCM
Yahaya Omary Massare Manyoni Magharibi CCM
Flatei Gregory Massay Mbulu Vijijini CCM
Esther Nicholus Matiko Tarime Mjini Chadema
Aysharose Ndogholi Mattembe Viti maalum vya wanawake CCM
Silafu Jumbe Maufi Viti maalum vya wanawake CCM
Antony Peter Mavunde Dodoma mjini CCM
Lucy Thomas Mayenga Viti maalum vya wanawake CCM
Makame Mnyaa Mbarawa Uteuzi wa rais CCM
Mussa Bakari Mbarouk Tanga Mjini CUF
James Fransis Mbatia Vunjo NCCR-Mageuzi
Prosper Joseph Mbena Morogoro Kusini CCM
Janet Zebedayo Mbene Ileje CCM
Joseph Osmund Mbilinyi Mbeya Mjini Chadema
Richard Phillip Mbogo Nsimbo CCM
Taska Restituta Mbogo Viti maalum vya wanawake CCM
Freeman Aikaeli Mbowe Hai Chadema
Mwanne Ismail Mchemba Tabora Mjini CCM
Mohamed Omary Mchengerwa Rufiji CCM
Halima James Mdee Kawe Chadema
Gibson Blasius Meiseyeki Arumeru-Magharibi Chadema
Bhagwanji Maganlal Meisuria Chwaka CCM
Subira Khamis Mgalu Viti maalum vya wanawake CCM
Neema William Mgaya Viti maalum vya wanawake CCM
Godfrey William Mgimwa Kalenga CCM
Mahmoud Hassan Mgimwa Mufindi Kaskazini CCM
Suzana Chogisasi Mgonukulima Viti maalum vya wanawake Chadema
Omary Tebweta Mgumba Morogoro Kusini Mashariki CCM
Joseph Kizito Mhagama Madaba CCM
Jenista Joackim Mhagama Peramiho CCM
Mboni Mohamed Mhita Handeni Vijijini CCM
Esther Lukago Midimu Viti maalum vya wanawake CCM
James Kinyasi Millya Simanjiro Chadema
Devotha Methew Minja Viti maalum vya wanawake Chadema
Desderius John Mipata Nkasi Kusini CCM
Nimrod Elirehemah Mkono Butiama CCM
George Huruma Mkuchika Newala Mjini CCM
Joseph Michael Mkundi Ukerewe Chadema
Saada Salum Mkuya Welezo CCM
Martha Moses Mlata Viti maalum vya wanawake CCM
Goodluck Asaph Mlinga Ulanga CCM
Lucia Ursula Michael Mlowe Viti maalum vya wanawake Chadema
Ester Michael Mmasi Viti maalum vya wanawake CCM
John John Mnyika Kibamba Chadema
Twahir Awesu Mohammed Mkoani CUF
Godwin Oloyce Mollel Siha Chadema
Amina Saleh Athuman Mollel Viti maalum vya wanawake CCM
Ruth Hiyob Mollel Viti maalum vya wanawake Chadema
Daimu Iddi Mpakate Tunduru Kusini CCM
Philip Isdor Mpango Uteuzi wa rais CCM
Luhaga Joelson Mpina Kisesa CCM
Haji Hussein Mponda Malinyi CCM
Maryam Salum Msabaha Viti maalum vya wanawake Chadema
Peter Simon Msigwa Iringa Mjini Chadema
Martin Alexander Mtonda Msuha Mbinga Vijijini CCM
Abdallah Ally Mtolea Temeke CUF
Daniel Edward Mtuka Manyoni Mashariki CCM
Maulid Said Abdallah Mtulia Kinondoni CUF
Muhammed Amour Muhammed Bumbwini[4] CUF
Sospeter Mwijarubi Muhongo Musoma Vijijini CCM
Joyce John Mukya Viti maalum vya wanawake Chadema
Philipo Augustino Mulugo Songwe CCM
Mary Deo Muro Viti maalum vya wanawake Chadema
Bernadeta Kasabago Mushashu Viti maalum vya wanawake CCM
Mussa Hassan Mussa Amani CCM
Joseph Kasheku Musukuma Geita CCM
Hawa Subira Mwaifunga Viti maalum vya wanawake Chadema
Joel Makanyaga Mwaka Chilonwa CCM
Sophia Hebron Mwakagenda Rungwe Chadema
Frank George Mwakajoka Tunduma Chadema
Bupe Nelson Mwakang'ata Viti maalum vya wanawake CCM
Emmanuel Adamson Mwakasaka Tabora Mjini CCM
Atupele Fredy Mwakibete Busokelo CCM
Harrison George Mwakyembe Kyela CCM
Ummy Ally Mwalimu Viti maalum vya wanawake CCM
Edward Franz Mwalongo Njombe Mjini CCM
Victor Kilasile Mwambalaswa Lupa CCM
Cecil David Mwambe Ndanda Chadema
Venance Methusalah Mwamoto Kilolo CCM
Zainabu Nuhu Mwamwindi Viti maalum vya wanawake CCM
Mary Machuche Mwanjelwa Mbeya Mjini CCM
Charles John Mwijage Muleba Kaskazini CCM
Sudi Katunda Mwilima Kigoma Kusini CCM
Abbas Ali Mwinyi Fuoni CCM
Hussein Ali Mwinyi Kwahani CCM
Vedasto Edgar Ngombale Mwiru Kilwa Kaskazini CUF
Mariamu Ditopile Mzuzuri Ilala CCM
Maftaha Abdallah Nachuma Mtwara Mjini CUF
Mary Michael Nagu Hanang CCM
Shamsi Vuai Nahodha Kijitoupele CCM
Onesmo Koimerek Nangole Longido Chadema
Joshua Samwel Nassari Arumeru-Mashariki Chadema
Suleiman Masoud Nchambi Kishapu CCM
Mashimba Mashauri Ndaki Maswa Magharibi CCM
Joyce Lazaro Ndalichako Uteuzi wa rais CCM
Richard Mganga Ndassa Sumve CCM
Atashasta Justus Nditiye Muhambwe CCM
Job Yustino Ndugai Kongwa CCM
Faustine Engelbert Ndugulile Kigamboni CCM
Deogratias Francis Ngalawa Ludewa CCM
William Mganga Ngeleja Sengerema CCM
Stephen Hillary Ngonyani Korogwe Vijijini CCM
Edwin Amandus Ngonyani Namtumbo CCM
Jacqueline Kandidus Ngonyani Viti maalum vya wanawake CCM
Ahmed Juma Ngwali Wawi CUF
Oran Manase Njeza Mbeya Vijijini CCM
Juma Selemani Nkamia Chemba CCM
Dua William Nkurua Nanyumbu CCM
Nape Moses Nnauye Mtama CCM
Adamson Sigalla Norman Makete CCM
Daniel Nicodemus Nsanzugwako Kasulu Mjini CCM
Musa Rashid Ntimizi Igalula CCM
Lazaro Samuel Nyalandu Singida Kaskazini CCM
Tauhida Cassian Galoss Nyimbo Viti maalum vya wanawake CCM
Stanslaus Haroon Nyongo Maswa Mashariki CCM
Albert Ntabaliba Obama Buhigwe CCM
William Tate Olenasha Ngorongoro CCM
Ali Hassan Omar Jang'ombe CCM
Juma Hamad Omar Ole CUF
Nassor Suleiman Omar Ziwani[5] CUF
Rwegasira Mukasa Oscar Biharamulo Magharibi CCM
Lucy Fidelis Owenya Viti maalum vya wanawake Chadema
Cecilia Daniel Paresso Viti maalum vya wanawake Chadema
Issaay Zacharia Paulo Mbulu Mjini CCM
Upendo Furaha Peneza Viti maalum vya wanawake Chadema
Haroon Mulla Pirmohamed Mbarali CCM
Ussi Salum Pondeza Chumbuni CCM
Abdallah Saleh Possi Uteuzi wa rais CCM
Willy Qulwi Qambalo Karatu Chadema
Adadi Mohamed Rajabu Muheza CCM
Shally Josepha Raymond Viti maalum vya wanawake CCM
Salum Mwinyi Rehani Uzini CCM
Conchesta Leonce Rwamlaza Viti maalum vya wanawake Chadema
Jasson Samson Rweikiza Bukoba Vijijini CCM
Suleiman Ahmed Saddiq Mvomero CCM
Machano Othman Said Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar CCM
Magdalena Hamis Sakaya Kaliua CUF
Zubeda Hassan Sakuru Viti maalum vya wanawake Chadema
Ally Abdulla Ally Saleh Malindi CUF
Masoud Abdalla Salim Mtambile CUF
Salum Khamis Salum Meatu CCM
Mattar Ali Salum Shaurimoyo CCM
Ahmed Ally Salum Solwa CCM
Deo Kasenyenda Sanga Makambako CCM
Edwin Mgante Sannda Kondoa Mjini CCM
Joseph Roman Selasini Rombo Chadema
Immaculate Sware Semesi Viti maalum vya wanawake Chadema
Oliver Daniel Semuguruka Viti maalum vya wanawake CCM
Peter Joseph Serukamba Kigoma Kaskazini CCM
Ahmed Mabukhut Shabiby Gairo CCM
Rashid Abdallah Shangazi Mlalo CCM
Shabani Omari Shekilindi Lushoto CCM
Juliana Daniel Shonza Viti maalum vya wanawake CCM
Njalu Daudi Silanga Itilima CCM
David Ernest Silinde Momba Chadema
Mussa Ramadhani Sima Singida Mjini CCM
Sophia Mattayo Simba Viti maalum vya wanawake CCM
George Boniface Simbachawene Kibakwe CCM
Margaret Simwanza Sitta Urambo CCM
Joyce Bitta Sokombi Viti maalum vya wanawake Chadema
Jitu Vrajlal Soni Babati Vijijini CCM
Rose Kamili Sukum Viti maalum vya wanawake Chadema
Ally Yusuf Suleiman Mgogoni CUF
Khalifa Salum Suleiman Tunguu CCM
Sabreena Hamza Sungura Viti maalum vya wanawake Chadema
Hafidh Ali Tahir Dimani CCM
Munde Abdallah Tambwe Viti maalum vya wanawake CCM
Grace Victor Tendega Viti maalum vya wanawake Chadema
Anatropia Lwehikila Theonest Viti maalum vya wanawake Chadema
Anna Kajumulo Tibaijuka Muleba kusini CCM
Charles John Tizeba Buchosa CCM
Fatma Hassan Toufiq Viti maalum vya wanawake CCM
Salim Hassan Turky Mpendae CCM
Rose Cyprian Tweve Viti maalum vya wanawake CCM
Abdallah Hamis Ulega Mkuranga CCM
Martha Jachi Umbulla Viti maalum vya wanawake CCM
Ally Seif Ungando Kibiti CCM
Khamis Ali Vuai Mkwajuni CCM
Zaynab Matitu Vulu Viti maalum vya wanawake CCM
Mwita Mwikwabe Waitara Ukonga Chadema
Anastazia James Wambura Viti maalum vya wanawake CCM
Selemani Jumanne Zedi Bukene CCM
Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto Kigoma Mjini ACT
Azzan Mussa Zungu Ilala CCM

Marejeo

hariri

Orodha ya wabunge wa Tanzania, tovuti la bunge, liliangaliwa Mei 2017

  1. Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
  2. Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
  3. Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
  4. Jimbo katika Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B'
  5. Jimbo katika Wilaya ya Chakechake, kisiwani Pemba