Abdallah Majurah Bulembo

Mwanasiasa wa Tanzania

Abdallah Majurah Bulembo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa Raisi kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017