Abdallah Nzunda (Mkojani)

Abdallah Nzunda maarufu kwa jina la Mkojani ni msanii na mwigizaji na vichekesho nchini Tanzania[1]

Historia

hariri

Mkojani alianza rasmi sanaa za maigizo mnamo mwaka 2005 ambapo mapaka sasa anaogoza vijana wengine kwenye tasnia ya uigizaji zaidi ya vijana 15[2][3]

Baadhi ya Filamu alizoshiriki

hariri
  1. Ugaigai[4]
  2. Kasri ya Mkojani[5]
  3. Mjumbe
mwaka waandaaji wa Tuzo Tuzo/Kipengele Jina la Filamu Matokeo
2022 Bodi ya Filamu Tanzania Mchekeshaji Bora Ugaigai Ameshinda[6][7]
2023 Bodi ya Filamu Tanzania Filamu Bora ya uchekeshaji Ameshinda[8]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdallah Nzunda (Mkojani) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.