Abdenour Belkheir
Abdenour Belkheir (alizaliwa 21 Februari 1989) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria ambaye anacheza kama mshambuliaji.[1]
Kazi Yake Kitaifa
haririBelkheir alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na timu ya taifa ya Algeria katika mechi ya kirafiki na saudi arabia ambapo walifungwa 2-0 mnamo tarehe 9 Mei 2018.[2]
Marejeo
haririViungo Vya Nje
hariri- Abdenour BelkheirKatika Soccerway.
- Abdenour Belkheirkatika National-Football-Teams.com.
- Wasifu Wa DZFoot Ilihifadhiwa 5 Septemba 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdenour Belkheir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |