1989
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1985 |
1986 |
1987 |
1988 |
1989
| 1990
| 1991
| 1992
| 1993
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1989 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 9 Novemba - Nchi ya Ujerumani wa Mashariki inafungulia Ukuta wa Berlin na kuwaruhusu wananchi wake kusafiri bila shida kwenda Ujerumani wa Magharibi.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 4 Februari - Donald Ndombo Ngoma, mchezaji mpira nchini Tanzania
- 21 Februari - Corbin Bleu, mwigizaji wa filamu na mwanamuziki kutoka Marekani
- 14 Machi - Colby O'Donis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Julai - Savio Nsereko, mchezaji mpira kutoka Ujerumani
- 31 Julai - Zelda Williams, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2 Oktoba - Diamond Platnumz, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 7 Oktoba - Rose Ndauka, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 8 Novemba - Morgan Schneiderlin, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
- 12 Desemba - Usama Mukwaya, mwigizaji wa filamu kutoka Uganda
- 13 Desemba - Taylor Swift, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 7 Januari - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 23 Januari - Salvador Dali, mchoraji kutoka Hispania
- 6 Februari - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 27 Februari - Konrad Lorenz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 21 Aprili - James Kirkwood, mwandishi waMarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976
- 22 Aprili - Emilio Segre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959
- 30 Aprili - Sergio Leone, muongozaji wa filamu kutoka Italia
- 3 Juni - Ayatollah Ruhollah Khomeini, kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979
- 9 Juni - George Beadle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
- 12 Agosti - William Shockley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956)
- 15 Septemba – Robert Penn Warren, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1958
- 26 Oktoba - Charles Pedersen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 15 Desemba - Philly Lutaaya, mwanamuziki kutoka Uganda
- 16 Desemba - Lee van Cleef, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 22 Desemba - Samuel Beckett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1969
- 30 Desemba - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: