Abderrahmane Sissako

Abderrahmane Sissako (alizaliwa Mauritania mwaka 1961) aliishi nchini Mali wakati wa utoto na ujana wake, akahamia Urusi, mji wa Moscow, alipokaa miaka kumi na aliposoma kwenye Taasisi ya Sinema (VGIK).

Abderrahmane Sissako mnamo mwaka 2016

Mwaka 1988 alitunga filamu yake ya kwanza inayoitwa "Mchezo" au "Le Jeu" kwa kifaransa.

Orodha ya filamu zake:

  • 1988 : Mchezo/ Le Jeu (filamu fupi)
  • 1993 : Oktoba/ Octobre (filamu fupi)
  • 1995 : Ngamia na fimbo zinazoelea / Le chameau et les bâtons flottants (filamu fupi)
  • 1996 : Sabriya
  • 1997 : Rostov-Luanda
  • 1998 : Maisha Duniyani / La vie sur terre (Mtajo wa pekee katika FESPACO ya kumi na sita mwaka 1999)
  • 2002 : Heremakono (Kusubiri heri) (Tunza kubwa-Étalon de Yenenga katika FESPACO ya kumi na nane mwaka 2003)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abderrahmane Sissako kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.