Abdul Hakim Sani Brown
Abdul Hakim Sani Brown(サニブラウン・アブデル・ハキーム, Saniburaun Abuderu Hakīmu,alizaliwa 6 Machi 1999) ni mwanariadha nchini Japani ambaye aliyebobea katika matukio ya mbio fupi.Sani Brown mama yake wa Japani na baba wa Ghana.Sani Brown alishinda mbio za mita 100 katika mashindano ya dunia ya vijana katika riadha ya mwaka 2015 akiweka rekodi ya ubingwa wa 10.28 (-0.4) katika fainali.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Abdul Hakim Sani Brown – Player Profile – Athletics". eurosport.com.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdul Hakim Sani Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |